sw_tn/1ki/10/08.md

13 lines
232 B
Markdown

# ambao daima husimama mbele yako
"ambao wako katika uwepo wako wakisubiri kukutumikia"
# BWANA, Mungu wako atukuzwe
"Watu na wamtukuze BWANA Mungu wako"
# alikuweka kwenye kiti cha enzi cha Israeli
"Aliyekufanya kuwa mfalme"