sw_tn/1ki/09/04.md

17 lines
415 B
Markdown

# kama utatembea mbele yangu kama baba yako Daudi alivyotembea
"Kama utaisha kama ninavyokutaka uishi, kama vile Daudi baba yako alivyofanya"
# kwa haki na unyofu katika moyo
Virai hivi viwili vinamaanisha kitu kilekile, vimetumika kuonyesha msisitizo wa jinsi Daudi alivyokuwa.
# kiti chako cha enzi
"utawala wako"
# uzao wako hautaondoka katika kiti cha enzi cha Israeli
"daima utatawala katika Israeli"