sw_tn/1co/04/08.md

21 lines
826 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Paulo anatumia msemo wa kejeli ili kuwafanya Wakorintho waone aibu na kutambua kuwa walikuwa wakitenda dhambi walipojisifu wenyewe pamoja na kuwasifia walimu wao.
# Mungu ametuweka sisi mitume kama kutuonyesha
Paulo anaeleza njia mbili jinsi Mungu amekwisha weka mitume kwa kuonyesha wazi kwa ulimwengu uone
# ametuweka sisi mitume kama kutuonyesha
Mungu ameonyesha wazi mitume kama tu wafungwa wakti wa mwisho wa gwaride la jeshi la Kirumi,ambao tunaabishwa mbele ya kutekeleza kwao.
# kama watu waliohukumiwa kuuawa
Mungu ameweka mitume kuonyesha wazi kama watu waliotayari kutekelezwa.
# kwa ulimwengu, kwa malaika na kwa wanadamu
Neno "ulimwengu" ni jumla ya viumbe vya kiroho (malaika) na viumbe vya asili (wanadamu). kwa hiyo anataja vitu vitatu: kwa ulimwengu, kwa malaika, na kwa wanadamu