forked from WA-Catalog/sw_tn
13 lines
479 B
Markdown
13 lines
479 B
Markdown
# Ni kitu dogo sana kuwa ninahukumiwa na ninyi
|
|
|
|
Paulo analinganisha kati ya hukumu ya kibinadamu na hukumu ya Mungu. Hukumu ya binadamu ni ya kubahatisha kulinganisha na hukumu ya kweli ya Mungu juu ya binadamu
|
|
|
|
# Sijihukumu mimi mwenyewe
|
|
|
|
"Sijasikia lawama yoyote juu yangu kwamba nilifanya maovu"
|
|
|
|
# hii haina maana kuwa mimi ni mwenye haki. Ni Bwana anihukumuye
|
|
|
|
"kule kutosikia lawama siyo uthibitisho kuwa mimi sina hatia. Bwana anajua kama mimi sina hatia au nina hatia.
|
|
|