sw_tn/1co/04/01.md

13 lines
324 B
Markdown

# sentensi unganishi
baada ya kuwakumbusha watu kuwa wasiwe na majivuno juu ya nani aliwafundisha habari za Bwana na kuwabatiza, pia anawakumbusha washirika(waumini) wa Korintho kuwa wanapaswa kuwa wanyenyekevu.
# Katika hili
"Kwa sababu sisi ni mawakili"
# kinachotakiwa kwa uwakili ni kwamba wawe
" tunatakiwa kuwa"