sw_tn/1co/01/28.md

17 lines
385 B
Markdown

# hali ya chini na kilichodharauliwa
watu ambao dunia imewakataa."Watu ambao ni wanyenyekevu na kukataliwa."
# Vitu ambavyo vimehesabiwa kuwa hakuna kitu
"Vile ambavyo watu kawaida huhesabiwa havithaminiwi"
# vitu vilivyo na thamani
"Vitu ambavyo watu kwa kawaida huvithamini"au "Vitu ambavyo watu hudhani vina thamani au vinathaminiwa."
# Alifanya hivi
"Mungu alifanya hivi"