sw_tn/1ch/27/28.md

17 lines
196 B
Markdown

# mikuyu
Huu ni aina ya mti
# Baali Hanani ... Shitrai ... Adlai
Haya ni majina ya wanaume.
# Gederi .. Shafati
Haya ni majina ya sehemu
# iliyo kuwa inalishwa
"walio kula nyasi shambani"