sw_tn/1ch/09/25.md

225 B

Kaka zao

"kaka za walinzi"

walikuja kuwasaidia baada ya mzunguko wa siku saba

mzunguko wa siku, wa awamu** "walikuja kusaidia kwa mzunguko wa siku 7, wakipeana awamu"

walipangiwa kulinda vyumba

"walilinda vyumba"