sw_tn/zep/03/14.md

8 lines
187 B
Markdown

# binti Sayuni
"Hii inamaanisha watu wote wa Yerusalemu.
# Usiiache mikono yako ilegee
Hii inamaanisha usijisikie dhaifu au mnyonge unavyokuwa kama mikono yako itakuwa dhaifu kimwili.