# baba yake na mama yake waliomzaa
Kifungu "waliomzaa" kinaelezea "baba yake na mama yake" ili kuonesha mshangao kwamba wazazi wangemtendea hivi mwanao.
# Hautaishi
Lazima ufe"
# watamchoma
Kumchoma ili kumwua."