sw_tn/tit/02/06.md

20 lines
639 B
Markdown

# kwa namna iyo hiyo
Tito alitakiwa kuwafundisha wasichana kama alivyokuwa akiwafundisha wazee.
# jiwekeni wenyewe
Jioneshe wewe mwenyewe kuwa
# mfano katika kazi nzuri
kielelezo cha mtu yule anayefanya mambo sahihi na yenye kufaa.
# ujumbe wenye afya
Paulo anaongelea juu ya mahubiri na mafundisho ya Tito kana kwamba ni mtu mwenye afya katika mwili wake.
# ili kwamba yeyote apingaye aaibishwe
Hii inawakilisha hali ya kufikirika ya kwamba mtu yeyote atakayempinga Tito ataaibishwa kwa kufanya hivyo. Ilikuwa haizungumzii hali halisi iliyokuwepo dhahiri. Huenda lugha yako yaweza kkuwa na njia fulani ya kuelezea jambo hili.