sw_tn/tit/02/03.md

20 lines
592 B
Markdown

# vivyo hivyo
"kwa njia iyo hiyo." "Kama unavyowaelekeza wazee, waelekeze akina mama pia."
# lazima daima wajioneshe wao wenyewe
"wanapawa kudhihirisha wao wenyewe kuwa" au "Lazima uishi kama..."
# kusengenya
Neno hili linarejelea watu wale wanaowasema vibaya wenzao kwa mambo ya kweli au ya uongo.
# watumwa wa pombe
Mtu ambaye anatabia ya kuhitaji kunywa pombe mara kwa mara hupenda kunywa pombe nyingi. Paulo anaongelea juu ya watu waliokubuu au kuzoelea ulevi kiasi cha kuwaita watumwa. "watumwa wa pombe"
# kuwa wenye busara... wasafi
kuwa na mawazo sahihi au kufikiri vizuri