sw_tn/tit/01/intro.md

27 lines
991 B
Markdown

# Tito 01 Maelezo kwa jumla
## Muundo na Mpangilio
Paulo anaanzisha barua hii kirasmi katika mistari 1-4. Waandishi walianzisha barua kwa njia hii hapo kale Mashariki ya Karibu.
Katika mistari ya 6-9, Paulo anaorodhesha sifa za mwanaume anayetaka kuwa mzee wa Kanisa. (Tazama: [[rc://*/ta/man/translate/figs-abstractnouns]]) Pauo anapeana orodha sawa katika 1 Timotheo 3.
## Dhana muhimu katika sura hii
### Wazee
Kanisa limetumia vyeo tofauti kuashiria viongozi wa kanisa. Baadhi ya vyeo hivi ni: Mwangalizi, mzee, mchungaji na askofu.
## Maswala mengine tata katika tafsiri ya sura hii
### Wanapaswa, wanaweza, Inawalazimu
ULB hutumia maneno tofauti kuwashiria mahitaji ama mambo ya lazima. Maneno hayo yana matumizi ya viwango tofauti vya misisitizo. Tofauti ndogo ya maana ya hayo maneno inaweza kuwa ngumu kutafsiri. UDB inatafsiri maneno hayo kwa njia ya jumla.
## Links:
* __[Titus 01:01 Notes](./01.md)__
* __[Titus intro](../front/intro.md)__
__| [>>](../02/intro.md)__