sw_tn/sng/07/09.md

16 lines
332 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Mpenzi anaendelea kueleza nini angependa amfanyie mwanamke.
# Mdomo wako na uwe kama mvinyo bora
"Ninataka kuuonja mdomo wako kama mvinyo bora."
# ukishuka taratibu kwa mpenzi wangu
Mpenzi anafurahia mabusu mororo ya mwanamke.
# ukiteleza kwenye midomo yetu na meno
"unao shuka kwenye midomo yetu na meno"