sw_tn/sng/07/05.md

20 lines
488 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Mpenzi anaendelea kumuelezea yeye anaye mpenda.
# Kichwa chako ni kama Karmeli
Mwanamke analinganishwa na Mlima Karmeli ambao umeinuka kuliko kitu chochote karibu yake.
# zambarau nyeusi
Tafsiri zinazo wezekana ni 1) "nyeusi iliyo koa" au 2) "nyekundu iliyo koa."
# Mfalme amestaajabishwa na vifundo vyake
"Nywele zinazo ni'ng'inia ni nzuri hadi mfalme anashindwa kuacha kuzitamani."
# vifundo
marundo ya nywele yanayo ni'ng'inia kutoka kichwani mwa mwanamke.