sw_tn/sng/07/02.md

32 lines
900 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Mpenzi wa mwanamke anaendelea kumuelezea yeye anaye mpenda
# Kitovu chako ni kama duara la bakuli
Kitovu cha mwanamke kina umbo zuri kama kibakuli.
# Kitovu
Sehemu illiyo ingia ndani katika tumbo, ambayo ni kovu lililo baki ambalo lilimuunganisha mtoto na mama yake
# kamwe kisikose mchanganyiko wa mvinyo
Watu walitumia mitungi mikubwa kuchanganya maji na mvinyo au theluji kwa ajili ya sherehe. Watu walifurahia ladha ya mvinyo kwenye sherehe.
# Tumbo lako ni kama ngano iliyo umuka
Watu walidhani kuwa rangi ya ngano ni nzuri sana ya mwili na kwamba ngano iliyo umuka ya duara ni nzuri. "Tumbo lako lina rangi nzuri na liladuara kama ngano iliyo umuka."
# ngano iliyo umuka
Hii ni ngano iliyo kusanywa baada ya watu kuipeta na kuisaga.
# kuzungushiwa nyinyoro
Maua mazuri yanafanya ngano iliyo petwa na kukusanywa kuonekana nzuri.
# nyinyoro
aina ya maua makubwa