sw_tn/sng/06/10.md

632 B

Maelezo ya Jumla

Yale malikia na masuri walisema kuhusu mwanamke. Ingawa, tafsiri zingine zinaona kuwa mpenzi wa mwanamke anaongea katika huu mstari pia.

Ni nani huyo anaye jitokeza kama kukicha

Wanatumia hili swali kusema kuwa wanadhani mwanamke ni wa ajabu.

anaye jitokeza kama kukicha

Mpenzi anatumia hili umbo kusema kuwa mwanamke ni mzuri na wa utukufu kama kunavyo pamba zuka na kung'aa.

waamasisha kama jeshi lenye bendera mbele

waamasisha kama jeshi lenye bendera mbele Uzuri wa mwanamke ni una nguvu hadi unawafanya wanawake wahisi hawana msaada, kama jeshi lilikuwa linamfuata. Ona jinsi ulivyo tafsiri 6:4