sw_tn/sng/06/04.md

448 B

Maelezo ya Jumla

Hapa ni mwanzo wa Sehemu ya Tano cha kitabu

ni mzuri kama Tirza, mpenzi wangu, wapendeza kama Yerusalemu

Mpenzi ana fananisha uzuri wa mwanamke na mvuto wake kwa miji mizuri na ya kuvutia.

wapendeza

Ona jinsi ulivyo tafsiri 1:5

waamasisha kama jeshi lenye bendera mbele

waamasisha kama jeshi lenye bendera mbele Uzuri wa mwanamke ni una nguvu hadi unamfanya mpenzi ahisi hana msaada, kama jeshi lilikuwa linamfuata.