sw_tn/sng/06/02.md

32 lines
696 B
Markdown

# Mpenzi wangu ameenda katika bustani yake
Ona ufafanuzi wa umbo hili 5:1
# vitanda vya manukato
Ona jinsi ulivyo tafsiri " vitanda vya manukato" katika 5:13. Mpenzi amekuja kufurahia mvuto wa mwili wa mwanamke ambao ni mzuri kama manukato.
# kula katika bustani na kukusanya nyinyoro
Mwanamke anatumia haya maumbo kuhashiria kwamba mpenzi wake ana mfurahia yeye.
# kula
Ona jinsi ulivyo tafsiri "ana kula" 2:16
# kukusanya nyinyoro
"kuokota nyinyoro"
# nyinyoro
Ona jinsi ulivyo tafsiri 2:16
# Mimi ni wa mpenzi wangu, na mpenzi wangu ni wangu
Ona jinsi ulivyo tafsiri "Mpenzi wangu ni wangu na mimi ni wake" 2:16
# na kula katika nyinyoro kwa raha
Ona jinsi ulivyo tafsiri 2:16