sw_tn/sng/05/15.md

24 lines
535 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Mwanamke anaendelea kumuelezea mpenzi wake.
# Miguu yake ni nguzo za marimari
Miguu yake ina nguvu na mizuri kama marimari ya nguzo
# Marimari
jiwe lenye imara lenye rangi tofauti na watu wana lisugua kulifanya nyororo
# iliyo ekwa juu ya dhahabu safi
Miguu yake ina thamani kama chini ya dhahabu safi inayo wezezesha nguzo za marimari.
# muonekano wake ni kama Lebanoni
Lebanoni ili kuwa eneo zuri lenye milima mingi na miti.
# mizuri kama mierezi
"yenye kutamanika kama mierezi" au "vyema kama mierezi"