sw_tn/sng/04/01.md

8 lines
232 B
Markdown

# O, wewe ni mzuri ... Macho yako ni ya hua
Ona jinsi ulivyo tafsiri 1:15
# Nywele zako ... Mlima Gileadi
Mbuzi mara nyingi ni weusi kwa rangi na wanapo tembea milimani nywele zao zinaonekana kama mawimbi ya nywele za mwanamke.