forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
550 B
Markdown
24 lines
550 B
Markdown
# nilikuwa na shauku ya yeye ni mpendaye; nilimtafuta
|
|
|
|
Hii imerudiwa kwa mkazo.
|
|
|
|
# nilimtafuta, lakini sikumpata
|
|
|
|
"nilikuwa nataka kuwa naye" au "nilikuwa na shauku naye"
|
|
|
|
# nilikuwa na shauku ya yeye ni mpendaye
|
|
|
|
Ona jinsi ulivyo tafsiri "yeye nafsi yangu impendaye" 1:7
|
|
|
|
# kwenda kupitia mji
|
|
|
|
"kutembea mjini"
|
|
|
|
# kupitia mitaa na sokoni
|
|
|
|
Neno "sokoni" la ashiria eneo la katikati ya mji ambapo mitaa na barabara uja pamoja. Ni sehemu ambapo watu uuza vitu, eneo la bihashara, na sehemu watu wanakuja kunzungumza pamoja.
|
|
|
|
# Nilimtafuta
|
|
|
|
"kumtafuta"
|