sw_tn/sng/02/16.md

28 lines
483 B
Markdown

# Mpenzi wangu ni wangu
"Mpenzi wangu ni sehemu yangu"
# na mimi ni wake
"na mimi ni sehemu yake"
# anakula
"ujishibisha" au "ula majani." Mwanamke anamlinganisha mpenzi wake na mnyama anaye kula mimea miongoni mwa nyinyoro, kama paa au ayala mdogo.
# vivuli kutoweka
Mwanamke anaeleza vivuli kama vile vinakimbia wanga wa jua.
# kama ayala au mtoto mdogo wa paa
Ona jinsi ulivyo tafsiri 2:8
# ayala
aina ya mafano wa swala wenye pembe zilizo pinda
# paa
swala wa kiume