sw_tn/sng/01/07.md

20 lines
329 B
Markdown

# unalisha mifugo yako
"kulisha mifugo yako"
# unapumzisha mifugo yako
"wanapo lala mifugo yako"
# Kwa nini niwe kama mtu anaye akangaika miongoni mwa mifugo ya marafiki zako?
"Niambie ili nisitange miongoni mwa mifugo ya rafiki zako ninapo kutafuta"
# angaika
"anaye zunguka"
# marafiki
"jamaa" au "wafanya kazi wenza"