sw_tn/sng/01/01.md

44 lines
723 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Sehemu ya Kwanza ya kitabu yaanza 1:2.
# Wimbo wa Nyimbo
"Wimbo ulio Bora" au Nyimbo iliyo Nzuri Sana"
# ambao ni wa Sulemani
"unao muhusu Sulemani" au "ambao aliutunga"
# mafuta yako ya upako
"Mafuta unayo paka mwilini mwako"
# yana manukato mazuri
"yanukia vizuri"
# jina lako ni kama marashi yaeleayo
Mwanamke anagundua kuwa mpenzi wake ana sifa nzuri. "jina lako ni zuri kama harufu ya mafuta mtu aliyo mimina
# Nichukuwe nawe
"Ni lete pamoja nawe." Neno "wewe" la husu mpenzi
# tutakimbia
Neno "tu" la husu mwanamke na mpenzi wake
# kuhusu wewe
"kwasababu yako"
# acha ni shereheke
"acha ni shereheke"
# Ni halisi kwa wanawake wengine kukupenda
"Wote wanao kupenda wako sahihi"