sw_tn/rom/16/06.md

20 lines
359 B
Markdown

# Mariamu
Hili ni jina la Mwanamke.
# Yunia
Hili linaweza kuwa 1) Yunia ni jima la mwanamke, au siyo vile, 2) Yunia ni jina la mwanaume.
# Anroniko...Ampliato
Haya ni majina ya wanaume.
# mpendwa wangu katika Bwana
"rafiki yangu mpendwa na muumini mwenzangu"
# ni maarufu miongoni mwa mitume
Hii inaweza kutafasiriwa kama "Mitume wanawafahamu vyema"