sw_tn/rom/15/intro.md

991 B

Warumi 15 Maelezo ya Jumla

Muundo na upangiliaji

Baadhi ya tafsiri huweka kila mstari wa mashairi upande wa kulia zaidi kuliko maandiko yote ili iwe rahisi kusoma. ULB inafanya hivi kwa mistari 9-11 na 21 ya sura hii, ambayo ni maneno kutoka Agano la Kale.

Baadhi ya tafsiri zinaweka nukuu za maneno ya kawaida kutoka Agano la Kale upande wa kulia zaidi kwenye ukurasa ili iwe rahisi kusoma. ULB inafanya hivyo kwa maneno yaliyotajwa katika mstari wa 12.

Katika Warumi 15:14, Paulo anaanza kuzungumza kibinafsi zaidi. Anabadilisha kutoka mafundisho na kuzungumzia mipango yake binafsi.

Mifano muhimu ya matamshi katika sura hii

Wenye nguvu/dhaifu

Maneno haya hutumiwa kurejea watu ambao wamekomaa na wachanga katika imani yao. Paulo anafundisha kwamba wale wenye nguvu katika imani wanastahili kuwasaidia walio dhaifu katika imani. (See: rc://*/tw/dict/bible/kt/faith)

<< | >>