sw_tn/rom/10/08.md

36 lines
786 B
Markdown

# Lakini inasema nini?
Neno "ina" urejea kwa "haki"
# Neno liko karibu nawe
"Ujumbe uko wapi"
# katika mdomo wako
Neno "mdomo" urejea kwa kile mtu husema. Tofasiri mbadala: "kiko katika kile usemacho"
# na katika moyo wako
Neno "moyo" urejea kwa akili ya mty au kile ufikiria. Tofasiri mbandala: "na kiko katika kile unachofikiri"
# kama kwa mdomo wako unatambua Yesu kuwa Bwana
'kama unakiri kwamba Yesu ni Bwana"
# amini katika moyo wako
"kubali kuwa ni kweli"
# alimfufua yeye kutoka kwenye mauti
Hapa ina maanisha kwamba Mungu alimsababisha Yesu kuwa hai tena
# utaokolewa
"Mungu atakuokoa"
# Kwa kuwa kwa moyo mtu huamini kwa haki, na kwa kinywa hukiri wokovu
"Ni kwa akili kwamba mtu husadiki na kuwa mbele za Mungu, na ni kwa kinywa mtu hukiri na Mungu umuokoa"