forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
624 B
Markdown
16 lines
624 B
Markdown
# Lakini itakuwaje iwapo baadhi ya Wayahudi hawakuwa waaminifu? Je, kutoamini kwao hufanya uaminifu wa Mungu ni batili?
|
|
|
|
Paulo anatumia maswali haya na kufanya watu kufikiri. Baadhi ya Wayahudi hawakuwa waaminifu kwa Mungu, hivyo baadhi ya kuhitimisha kwamba Mungu hakutaka kutimiza ahadi yake.
|
|
|
|
# Haiwezekani kamwe kuwa
|
|
|
|
Msemo huu mzito kuhusu kwamba hii inaweza kutokea. Unaweza kuwa na maelezo kama hayo katika lugha yako kwamba unaweza kutumia hapa. AT 'Hiyo haiwezekani' au 'Hakika siyo.'
|
|
|
|
# Badala
|
|
|
|
"Tunapaswa kusema hili badala"
|
|
|
|
# Kama ilivyokua imeandikwa
|
|
|
|
"Maandiko ya Kiyahudi wenyewe kukubaliana na ninachosema"
|