sw_tn/rev/21/intro.md

1.1 KiB

Ufunuo 21 Maelezo ya jumla

Muundo na mpangilio

Sura hii inatoa maelezo ya kina kuhusu Yerusalemu mpya.

Dhana muhimu katika sura hii

Kifo cha pili

Kifo ni aina ya muachano. Kifo cha kwanza ni kifo cha mwili, kuachana kwa roho kutoka kwa mwili. Kifo cha pili ni utengano wa milele kutoka kwa Mungu. (Tazama: [[rc:///tw/dict/bible/other/death]], [[rc:///tw/dict/bible/kt/soul]] na rc://*/tw/dict/bible/kt/eternity)

Tamathali muhimu za usemi katika sura hii

Kitabu cha uzima

Hii ni mfano wa maisha ya milele. Wale walio na uzima wa milele husemekana kuandikwa majina yao wkenye kitabo hiki cha uzima. (Tazama: rc://*/ta/man/translate/figs-metaphor)

Maswala mengine ya utata katika tafsiri ya sura hii

Mbingu mpaya na dunia mpya

Haieleweki iwapo hii ni dunia na mbingu tofauti kabisa ama kama zitatengenezwa kutoka kwa dunia na mbingu za kisasa. Hii ni hali sawa na Yerusalemu mpya. Kuna uwezekano kwamba hii itaathiri tafsiri katika lugha zingine.

<< | >>