sw_tn/rev/19/07.md

32 lines
975 B
Markdown

# Kauli Unganishi:
sauti ya umati kutoka mstari uliopita yaendelea kuzungumza.
# tushangilie
Hapa wanaoshangilia ni watumishi wa Mungu.
# kumpa utukufu
"kumpa Mungu utukufu" au "kumheshimu Mungu"
# harusi na sherehe ya Mwana Kondoo ... bibi harusi yuko tayari
Hapa Yohana anazungumzia kuunganishwa pamoja kwa Yesu na watu wake kwama vile sherehe ya harusi.
# Mwanakondoo
Huyu ni mtoto wa kiume wa kondoo. Hapa hutumika kuashiria kuwa ni Kristo.
# imekuja
Kuwepo katika wakati wa sasa inazungumziwa kama imekuja.
# bibi harusi yuko tayari
Yohana anawazungumzia watu wa Mungu kana kwamba ni bibi harusi anayejianda kwa ajili ya harusi yake.
# Aliruhusiwa kuvalishwa kitani safi na yenye kung'aa
Hapa aliyevaa ni watu wa Mungu. Yohana anazungumzia matendo ya haki ya watu wa Mungu kana kwamba ni nguo safi za kung'aa ambazo bibi harusi huvaa siku ya harusi yake. Unaweza kueleza hii kwa hali ya kutenda. "Mungu alimruhusu kuvaa nguo kitani ya safi na ya kung'aa.