sw_tn/rev/13/15.md

28 lines
763 B
Markdown

# Aliruhusiwa
"Mungu alimruhusu mnyama kutoka katika nchi"
# kutoa pumzi katika ile sanamu ya mnyama
Hapa neno "pumzi" humaanisha uhai. "kuipa uhai sanamu"
# sanamu ya mnyama
Hii ni sanamu ya mnyama wa kwanza aliyetajwa.
# kusababisha wale wote waliokataa kumwabudu mnyama wauawe
"kuwaua wote waliokataa kumwabudu mnyama wa kwanza"
# Pia akalazimisha kila mmoja
"Mnyama kutoka katika nchi pia akamlazimisha kila mmoja"
# Ilikuwa haiwezekani kwa kila mtu kuuza au kununua isipokuwa mwenye alama ya mnyama
"watu waliweza kununua na kuuza vitu ingawa tu walikuwa na alama ya mnyama." "Aliamuru kuwa watu wangeweza kununua na kuuza vitu kama tu wana alama ya mnyama"
# alama ya mnyama
Hii ilikuwa alama ya kuonesha kuwa aliyekuwa nayo alimwabudu mnyama.