sw_tn/rev/08/06.md

12 lines
372 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Malaika saba wapiga tarumbeta saba mmoja baada ya mwingine.
# Vikatupwa chini katika nchi
"Malaika alitupa mvua ya mawe na moto uliochanganyikana na damu chini duniani."
# theluthi moja yake iungue, theluthi moja ya miti ikaungua na nyasi zote za kijani zikaungua
"iliunguza theluthi moja ya nchi, theluthi moja ya miti na majani yote ya kijani."