sw_tn/rev/03/12.md

12 lines
463 B
Markdown

# yeye ashindaye
hii humaanisha mtu yeyote atakayeshinda. "yeyote atakayekataa uovu" au "kwa wale ambao hawatakubali kufanya uovu"
# nguzo katika hekalu la Mungu wangu
"Nguzo" inaonesha kuwa sehumu muhumi na ya kudumu katika ufalme wa Mungu. "imara kama nguzo katika ufalme wa Mungu wangu"
# Mwenye sikio asikie
Kuwa tayari kusikiliza inazungumziwa kama kuwa na sikio. "Acha ambaye yuko tayari kusikiliza asikilize" au "kama uko tayari kusikiliza, sikiliza"