sw_tn/psa/148/009.md

8 lines
174 B
Markdown

# Kauli Unganishi:
Mwandishi anaendelea kuzungumza na vitu ambavyo sio binadamu kana kwamba ni watu na kuviamuru kumsifu Yahwe.
# wanyama pori na wakufugwa
"wanyama wote"