sw_tn/psa/147/002.md

4 lines
286 B
Markdown

# Huwaponya waliovunjika moyo na kuziba vidonda vyao
Mwandishi anazungumzia huzuni ya watu na kukata tamaa kana kwamba ni vidonda vya kimwili, na Yahwe kuwatia moyo kana kwamba anaponya vidonda vyao. "Huwatia moyo wale walio na huzuni na kuwasaidia kupona na vidonda vyao vya kihisia"