sw_tn/psa/143/003.md

16 lines
249 B
Markdown

# amefuatilia nafsi yangu
"amenifukuza akijaribu kunishika"
# amenisukuma chini hadi ardhini
"ameniangamiza kabisa"
# Roho yangu imezidiwa ndani yangu
"Mimi mnyonge" au "Nimekata tamaa kabisa"
# moyo wangu umekata tamaa
"sina matumaini tena"