forked from WA-Catalog/sw_tn
8 lines
373 B
Markdown
8 lines
373 B
Markdown
# Umeunda sehemu zangu za ndani
|
|
|
|
"Sehemu za ndani" inamaanisha sehemu za ndani za mwili za mtu, lakini usemi huu hapa unaweza kuwa unamaanisha mwili mzima. "Umeumba mwili wangu wote"
|
|
|
|
# Nafsi yangu inatambua hili vizuri
|
|
|
|
Hapa "nafsi" inaweza kumaanisha uwezo wa ndani wa mwandishi wa zaburi kuwa na uhakika na upendo na uongozo wa Mungu. "Ninajua hili kwa moyo wangu wote'
|