sw_tn/psa/137/005.md

8 lines
242 B
Markdown

# Nikisahau kumbukumbu yako, Yerusalemu
Mwandishi anazungumza kana kwamba Yerusalemu inamsikiliza. "Nikifanya kana kwamba nimekusahau, Yerusalemu" au "Nikijaribu kukusahau, Yerusalemu"
# mkono wa kuume
mkono ambao watu wengi hutumia zaidi