sw_tn/psa/135/019.md

4 lines
185 B
Markdown

# yeye anayeishi Yerusalemu
Mungu anazungumziwa kana kwamba aliishi Yerusalemu kwa sababu hekalu ambalo Waisraeli walimwabudia lilikuwa huko. "yeye ambaye hekalu lake liko Yerusalemu"