sw_tn/psa/133/002.md

12 lines
464 B
Markdown

# Ni kama mafuta mazuri kichwani
Uzuri wa umoja miongoni mwa watu wa Mungu unazungumziwa kana kwamba yalikuwa mafuta mazuri yaliyomwagwa kichwani pa Haruni. "Huu umoja ni wa dhamani kama mafuta yaliyomwagwa kwenye kichwa cha Haruni.
# kama umande wa Hermoni
Uzuri wa umoja miongoni mwa watu wa Mungu unazungumziwa kana kwamba ulikuwa umande unaoburudisha. "unaburudisha kama umande wa hermoni"
# Hermoni
Huu ni mlima katika Israeli wenye theluji mwaka mzima.