sw_tn/psa/132/003.md

16 lines
565 B
Markdown

# Akasema
"Mfalme Daudi alisema"
# Sitayapa usingizi macho yangi wa kupumzika kwa vigubiko vya macho yangu
Usingizi na kupumzika zinazungumziwa kana kwamba ni vitu vinavyoweza kupewa. Hapa macho na vigubiko vya macho vinawakilisha mtu mzima. "Sitaruhusu macho yangu kulala wala vigubiko vya macho yangu kupumzika" au "sitalala wala kufunga macho yangu kupumzika"
# hadi nipate sehemu kwa ajili ya Yahwe
Kujenga sehemu kwa ajili ya Yahwe inazungumziwa kama kumtafutia sehemu. "hadi nijenge sehemu kwa ajili ya Yahwe"
# Hodari wa Yakobo
Hii inamaanisha Mungu.