sw_tn/psa/132/001.md

20 lines
460 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania.
# wimbo wa upaaji
Maana zinazowezekana ni 1) "wimbo ambao watu waliimba walipokwenda Yerusalemu kusherehekea" au 2) "wimbo watu walioimba wakati wakipanda ngazi kwenda hekaluni" au 3) "wimbo ambao maneno yake ni kama ngazi."
# kwa ajili ya Daudi
"kwa sababu ya kilichotokea kwa Daudi"
# ita katika kumbukumbu
"kumbuka" au "fikiri kuhusu"
# Hodari wa Yakobo
Hii inamaanisha Mungu.