sw_tn/psa/131/002.md

12 lines
576 B
Markdown

# Nimetuliza na kunyamazisha nafsi yangu
Nafsi inawakilisha mtu au hisia zake. Kuwa mtulivu na wa amani inazungumziwa kama kufanya nfasi ya mtu kutulia na kuwa kimya. "Nimetulia na nina amani"
# nafsi yangu ndani yangu
Nafsi inawakilisha mtu au hisia zake. "mimi"
# mtoto aliyeachishwa kifuani mwa mama yake
Mwandishi anajizungumzia kuridhika na kupumzika kana kwamba alikuwa mtoto mchanga ambaye haitaji tena maziwa kutoka kwa mama yake. "kuridhika kama mtoto mchanga ambaye halilii tena maziwa ya mama yake lakini anapumzika mikononi mwake" au "kuridhika na kupumzika"