forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
763 B
Markdown
20 lines
763 B
Markdown
# Taarifa ya Jumla:
|
|
|
|
Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania.
|
|
|
|
# wimbo wa upaaji
|
|
|
|
Maana zinazowezekana ni 1) "wimbo ambao watu waliimba walipokwenda Yerusalemu kusherehekea" au 2) "wimbo watu walioimba wakati wakipanda ngazi kwenda hekaluni" au 3) "wimbo ambao maneno yake ni kama ngazi."
|
|
|
|
# moyo wangu hauna kiburi au macho yangu majivuno
|
|
|
|
Moyo na macho yanamwakilisha mtu. "Sina kiburi wala majivuno"
|
|
|
|
# Sina matumaini makubwa kwa ajili yangu
|
|
|
|
Maana zinazowezekana ni "Sitegemei kufanya mambo makuu" au "Sidhani kuwa mimi ni mkuu"
|
|
|
|
# vitu ambavyo viko njee ya uwezo wangu
|
|
|
|
Vitu vilivyo vigumu sana kwa mtu kuelewa vinazungumziwa kana kwamba viko nje ya uwezo wa mtu au mbali sana kutoka kwa huyo mtu kuweza kufikia. "vitu vilivyo vigumu sana kuelewa"
|