sw_tn/psa/127/001.md

16 lines
634 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kihebrania.
# wimbo wa upaaji
Maana zinazowezekana ni 1) "wimbo ambao watu waliimba walipokwenda Yerusalemu kusherehekea" au 2) "wimbo watu walioimba wakati wakipanda ngazi kwenda hekaluni" au 3) "wimbo ambao maneno yake ni kama ngazi."
# kuamka mapema, kukawia kurudi nyumbani
Mtu anayefanya kazi kwa bidii mara nyingi inambidi kuamka mapema asubuhi na kuchelwa kurudi nyumbani usiku.
# kula mkate wa kazi ngumu
Hii ni lahaja. Mkate mara nyingi humaanisha chakula anachohitaji mtu kila siku ili kuishi. "fanya kazi kwa bidii kwa ajili ya mahitaji yako ya kila siku"