sw_tn/psa/119/147.md

8 lines
204 B
Markdown

# mapambazuko ya asubuhi
"kabla jua halijatokea"
# Macho yangu yako wazi kabla usiku haujabadilika
Hii ni lahaja. Katika utamaduni wa Kihebrania, usiku uligawanyika mara tatu. "Niko macho usiku kucha"