sw_tn/psa/119/127.md

8 lines
350 B
Markdown

# Ninafuata maagizo yako yote kwa makini
Mtu kutii kwa makini maagizo yote ya Mungu inazungumziwa kana kwamba maagizo yanamwongoza mtu na mtu anayafuata kwa nyuma. "Ninatii kwa makini maagizo yako yote"
# kila njia ya uongo
Watu kufanya kilicho kiovu inazungumziwa kana kwamba wanatembea njia mbaya. "njia zote mbaya ambazo baadhi ya watu huishi"