sw_tn/psa/119/123.md

20 lines
568 B
Markdown

# Macho yangu yanachoka ninaposubiri
Hapa "macho" yanawakilisha mtu mzima. "Ninachoka kwa sababu ninasubiri na kusubiri"
# kwa wokovu wako na kwa neno lako la haki
"ili uniokoe kama ulivyoahidi kufanya"
# neno lako la haki
Hapa "neno" linawakilisha kile ambacho Mungu anawasiliana na watu. "ahadi yako ya haki"
# Mwoneshe mtumishi wako
Mwandishi anajizungumzia mwenyewe kama "mtumishi wako." "Nioneshe" au "Nioneshe mimi, mtumishi wako"
# uaminifu wako wa agano
"kwamba unanipenda kwa uaminifu" au "kwa kuwa wewe ni mwaminifu kwangu kwa sababu ya agano lako"