sw_tn/psa/119/011.md

4 lines
206 B
Markdown

# Nimetunza neno lako moyoni mwangu
"Nimeweka maneno yako moyoni mwangu." Hii ni sitiari inayomaanisha "Nimekalili neno lako." Moyo unaoneshwa kama chombo kinachoweza kutunza kile ambacho watu wanafikiri.